Chagua Vusha Kwa usafiri salama na rahisi wa binafsi au mizigo yako.

Safiri

Sasa unaweza kununua bidhaa moja kwa moja kutoka kwa msambazaji.

Lipia bili za matumizi mbali mbali kama LUKU, malipo ya serikali, nk.

Vusha tunakupa suluhisho la bima kwa njia za kidigitali kwa uharaka.

Soma zaidi
TAFUTA APP VUSHA

Pakua App ya Vusha

UWAZI NA USALAMA

Ili kuendeleza ufanisi, gharama za safari nzima zitakuwa wazi kwa mteja. Pia Madereva wetu wamehakikiwa na kufundishwa kukuhakikishia usalama wako na mali zako.

GHARAMA NAFUU

Unaweza kusafiri na kusafirisha mizigo kutoka eneo Moja kwenda Jingine Kwa kushirikiana na wenzako ili ufaidike na punguzo la hadi asilimia Sitini (60%).

UHAKIKA WA MALI ZAKO

Usalama wa mzigo wako ni jukumu letu, Vusha itahakikisha mzigo wako uko salama kwa kuukatia bima.

Usafiri wa Vusha

Tuko tayari Kukuhudumia Masaa 24/7

+255 718 622672 / +255 787 499 622

Anuani

Ghorofa ya Kwanza, Kiwanja Na. 243, Jengo Na. 41, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, S.L.P 412, Dar es Salaam, Tanzania

Ungana Nasi

Vusha © 2021 Haki zote zimehifadhiwa.