Kwanini Usafiri Na Vusha?

WAZI NA SALAMA

Ili kuhakikisha ufanisi, matumizi ya safari nzima yatakuwa wazi kwa mteja ikiwemo garama na safari kwa ujumla. Pia Madereva wetu wamehakikiwa na kufundishwa ili kuhakikisha unasafiri salama na mali zako zinafikishwa salama.

SHIRIKI USAFIRI NA UPUNGUZE GHARAMA

Ukiwa na Vusha una nafasi ya kusafiri na kusafirisha mizigo yako kutoka eneo A kwenda eneo B. Hii inasaidia kupunguza gharama hadi asilimia sitini (60%).

USALAMA WA MALI ZAKO

Bila kuwa na hofu ya usalama wa mzigo wako uliochukuliwa na dereva wetu, tuna kuhakikishia mzigo utakuwa salama na unalindwa na bima.

Kundi La Usafiri Wetu

Malori yanapatikana masaa 24/7,  unaweza kuweka oda  mapema ya malori kuweza kusafirishia mzigo wako wakati wowote nchini. Ingia sasa na usafirishe mizigo yako kwa urahisi na usalama zaidi .


Vusha ni njia rahisi, haraka na ya kuaminika inayowaunganisha wateja kupata magari ya kifahari  kwa bei nafuu kwa matumizi ya ndani ya jiji au nje ya  mji. Weka oda, kodi gari la ndoto yako sasa.

Familia

Vusha inakuunganisha na magari ya kifahari yanayokidhi mahitaji ya kifamilia, mikutano na shughuli za kibiashara, matembezi (safari). Furahia huduma  ya kukodi kuanzia masaa 6 na kuendelea.