Vusha tunakupa masuluhisho ya bima kwa njia za kidigitali ambazo zinalengo la kuwasaidia wateja wetu katika sekta rasmi na zisizo rasmi kwa gharama nafuu zenye ubunifu ambazo zitakuza ushirikishwaji wa kifedha na swala zima ya bima .

Tunatoa huduma mbalimbali za bima kulingana na mhitaji ya wateja wetu . Tumeingia ubia na na taasisi kubwa ya bima barani africa inayojulikana kwa jina la Sanlam General Insurance (T) Limited kwa lengo la kutoa huduma zilizo bora kwa wateja wetu . Bima yetu ya magari unaweza kuletewa mpaka mlangoni kwako

Hii ni bima kwa ajili ya majanga au uharibifu unaoweza kusababishwa na moto au majanga kama mafuriko, tetemeko la ardhi na wizi katika moto. Bima hii ni kwa ajili ya vitu halisi na uharibifu wa vifaa katika nyumba za makazi na maofisi.

Bima kwa ajili ya wizi wa kuvunja na kuiba ndani ya eneo la biashara au nyumba za makazi.

Bima hii ni kwa ajili ya uharibifu wa mashine au vifaa vinavyotumia umeme.

Bima hii inalinda mizigo yako iwapo kutatokea ajali pindi unaposafirisha mizigo hiyo. Bima hii italipwa endapo kutatokea ajali ya gari kwa kugongana, kupinduka au moto.

Eneo: Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Malawi, DRC and Zambia.

 

Anuani

Ghorofa ya Kwanza, Kiwanja Na. 243, Jengo Na. 41, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, S.L.P 412, Dar es Salaam, Tanzania

Ungana Nasi

Vusha © 2021 Haki zote zimehifadhiwa.